Mtaguso

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mtaguso
Remove ads

Mtaguso ni mkutano wa viongozi wa Kanisa hasa maaskofu pamoja na Wakristo wengine kadhaa. Mtaguso unaweza kufanyika katika ngazi mbalimbali, kuanzia kanda, taifa hadi Mtaguso mkuu wa kimataifa.

Historia

Mtaguso wa awali ulifanyika Yerusalemu mwaka 49 hivi ili kujadili suala la waongofu wa mataifa, kama walazimishwe kutahiriwa na kufuata Torati yote au sivyo. Mitume waliohudhuria ni pamoja na Mtume Petro, Yakobo Mdogo, Mtume Paulo, Barnaba n.k. (kadiri ya Mdo 15:1-29) lakini pia Yohane (kadiri ya Gal 2:1-10).

Wakati wa Mababu wa Kanisa, mitaguso saba ya kwanza ya Kanisa lisilogawiwa bado inakubaliwa na Wakristo wengi, kama Wakatoliki, Waorthodoksi na Waprotestanti, kuwa mitaguso ya kiekumene.

Tangu kutokea kwa mafarakano urithi wa mitaguso umedumu hasa ndani ya Kanisa Katoliki lililoendelea kuendesha mitaguso mbalimbali.

Kati yake, mtaguso muhimu wa siku za karibuni ulikuwa Mtaguso wa pili wa Vatikano uliofanyika Roma kati ya miaka 1962 na 1965 na kuleta hali mpya hata katika uhusiano wa Wakatoliki na Wakristo wenzao wa madhehebu tofauti, tena kati yao na ulimwengu wote.

Remove ads

Marejeo

Mikusanyo ya hati za mitaguso

  • The Canons of the first four general councils of Nicaea, Constantinople, Ephesus and Chalcedon (kwa Kiyunani). Oxford: Clarendon Press. 1880.
  • Benson (1893). The six œcumenical councils of the undivided catholic church: Lectures delivered in 1893 under the auspices of the church club of New York. New York: E. & J.B. Young.
  • DuBose, William Porcher (1896). The ecumenical councils. New York: Christian Literature Co.
  • Percival, Henry Robert (1900). Schaff, P.; Wace, H. (whr.). The Seven Ecumenical Councils of the Undivided Church: Their Canons and Dogmatic Decrees, Together with the Canons of All the Local Synods which Have Received Ecumenical Acceptance. Nicene and post-Nicene Fathers of the Christian Church. Parker.
  • Schwartz, E. (1914–1940), Acta conciliorum oecumenicorum [The Acts of the Ecumenical Councils] (See "Acta conciliorum oecumenicorum" (webpage). Wisconsin Lutheran College. Iliwekwa mnamo 17 Agosti 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link))
  • Schroeder, Henry Joseph (1937). Disciplinary decrees of the general councils: Text, translation, and commentary. St. Louis, MO: B. Herder Book Co.
  • Straub, J. (1971), Acta conciliorum oecumenicorum [The Acts of the Ecumenical Councils] (See "Acta conciliorum oecumenicorum" (webpage). Wisconsin Lutheran College. Iliwekwa mnamo 17 Agosti 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link))
  • Alberigo, Giuseppe; Ioannou, Periclīs-Petros; Leonardi, Claudio; Jedin, Hubert (1962). Conciliorum Oecumenicorum Decreta. Basilae: Herder.
  • Alberigo, Giuseppe; Dossetti, Joseph A; Jedin, Hubert (1973). Conciliorum Oecumenicorum Decreta. Bologna: Bologna Institute for Religious Sciences.
  • Tanner, Norman P. (1990). Decrees of the ecumenical councils. Juz. la 2 Volumes. Sheed & Ward; Georgetown University Press. ISBN 978-0-87840-490-2.
  • Alberigo, Giuseppe; Melloni, Alberto, whr. (2000–2017). Conciliorum Oecumenicorum Generaliumque Decreta: Editio critica. Corpus Christianorum. Juz. la 4 Volumes. Turnhout: Brepols Publishers.

Mengineyo

Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtaguso kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads