Mkekundu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mkekundu (Chloris gayana) ni spishi ya nyasi katika nusufamilia Chloridoideae. Nyasi hii huishi miaka kadhaa na inaweza kufika urefu wa m 3. Inaweza kumea katika maeneo makavu kiasi (mm 600-750 ya mvua kwa mwaka). Kwa sababu haichuani na mimea ya shambani, inaweza kupandwa katikati yao bila kuathiri mazao na pia ni lishe bora ya wanyama wafugwao.
Remove ads
Viungo vya nje
Picha
- Mmea
- Ulimi wa jani
- Masuke na maua
- Kisuke chenye maua mawili
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads