Mkoa wa Galguduud
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Galguduud (Kisomali: Galgaduud, Kiarabu: جلجدود, Kiitalia: Galgudud au Ghelgudud) ni mkoa wa kiutawala (gobol) wa katikati Galmudug wa serikali ya Somalia.[1] Makao makuu ni Dusmareb.

Maelezo ya jumla
Galguduud imepakana na Ethiopia, mikoa ya Somalia ya Mudug, Hiran, Middle Shebelle (Shabeellaha Dhexe), na Bahari ya Somalia.
Mkoa wa Galgaduud ni nusu ya kusini ya Mudug umeunda Galmudug State, ambayo inazingatia yenyewe hali ya uhuru wa ukubwa Federal Republic wa somalia, kama ilivyoelezewa na provisional constitution of Somalia.[2]
Wilaya
Mkoa wa Galguduud umeundwa na wilaya kadhaa :[3]
- wilaya ya Adado
- wilaya ya Dusmareb
- wilaya yaAbudwak
- wilaya yaEl Dher
- wilaya yaEl Buur
Miji mikubwa
Miji mkubwa kati ya wilaya kumi za mkoa wa Galguduud ni:
- Adado
- Abudwak
- Guriceel
- El Bur
- Mareergur
- Xeraale
- El Dher
- Galinsoor
- Balan-Bale
- El Dhere
Miji midogo
Miji midogo inayounda miji mikubwa ambayo ni
- Gadoon
- Wahbo
- balihow cw
- Masagaway
- Miirjiicleey
- labagalle
- Waniinle
- Baraago diirshe
- Huurshe
- Bargaan
- Maraysuuley
- Lajiide
- habayle
- Laanqayle
- EL QOXLE
- Ceel la Halay
- EL Meygaag
- El Garas
- Tusmaaleey
- Xanan tuur
- Dhabad
- Bargaan
- Derri
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads