Mkoa wa Magharibi (Uganda)
mkoa wa Uganda From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mkoa wa Magharibi (kwa Kiingereza: Western Region) ni kati ya mikoa minne ya Uganda.


Kwa sasa linaundwa na wilaya 26.
Makao makuu yako Mbarara.
Wakazi ni 8,874,862.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads