Wilaya za Uganda

From Wikipedia, the free encyclopedia

Wilaya za Uganda
Remove ads

Uganda imegawanywa katika wilaya 135 na mji mkuu wa Kampala [1]. Kila wilaya ni sehemu ya mmoja wa mikoa minne. Wilaya mpya 7 zimeanza kazi rasmi tarehe 1 Julai 2019 zikifisha idadi kuwa 135.

Ukweli wa haraka

Wilaya nyingi zimepewa majina kulingana na miji mikubwa ya biashara na utawala.

Kila wilaya hugawanywa zaidi katika wilaya ndogo, kaunti, kaunti ndogo n.k.

Kiongozi mchaguliwa wa kila wilaya ni Mwenyekiti wa Baraza la Mitaa.

Chini ni takwimu ya idadi ya watu kadiri ya sensa ya mwaka 2014[2]

Thumb
Ramani ya wilaya 111 zilizokuwepo mwaka 2010. Bonyeza ramani kuifanya iwe kubwa.
Maelezo zaidi Ramani, Wakazi. ...
Remove ads

Wilaya mpya

Mnamo Septemba 2015, Bunge la Uganda liliamua kuanzisha wilaya mpya 23 katika miaka minne ya mbele. Hizo ni:[3]

Maelezo zaidi Tarehe rasmi ya kuanza ...
Remove ads

Angalia pia

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads