Modesti wa Trier
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Modesti wa Trier (alifariki 489[1]) alikuwa askofu wa mji huo[2] [3] (leo nchini Ujerumani) wakati Wafaranki walipouteka.

Anaheshimiwa tangu kale kama mtakatifu.[4]
Sikukuu yake huadimishwa tarehe 24 Februari[5].
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads