Wilaya ya Momba

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

8°48′42″S 32°21′47″E.

Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...

Wilaya ya Momba ni wilaya mojawapo kati ya 5 za mkoa wa Songwe, Tanzania, ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012 ikigawiwa toka wilaya ya Mbozi.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 259,781 [1].

Makao makuu ya wilaya yapo Tindingoma.

Vijiji vinavyozunguka makao makuu ya wilaya ni: Nkala, Naming'ongo na Yala. Vyote hivyo vipo ndani ya Tarafa ya Msangano.

Lugha kuu zinazozungumzwa ni pamoja na Kinyamwanga na Kiwanda upande wa Tarafa ya Kamsamba.

Mazao yanayolimwa ni mpunga, mahindi, mtama, ufuta, ulezi, alizeti na kahawa.

Remove ads

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads