Monulfi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Monulfi (kwa Kiholanzi: Monulfus; alifariki Tongeren, nchini Ubelgiji, 588) alikuwa askofu wa 21 wa Atuatuca Tungrorum, leo Tongeren.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads