Mto Otin
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Otin ni mto nchini Nigeria unaopatikana katika Jimbo la Osun.[1]
Chanzo chake ni mji wa Odo-Otin uliopo Kaskazini-Mashariki mwa Jimbo la Osun.
Mkondo wake ni mita za ujazo 2684. Njia yake ni km 36. Mto huu ni tawimto la Mto Erinle.
Tazama pia
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads