Mto Rungwa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Rungwa ni mmojawapo kati ya mito ya Tanzania. Unaanzia katika mkoa wa Singida, unatiririka upande wa kusini magharibi na kuishia katika ziwa Rukwa.[1][2]
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads