Limpopo (mto)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Limpopo ni mto wa kusini mwa Afrika unaoishia katika Bahari Hindi.
Chanzo kipo katika milima ya Witwatersrand, kati ya Pretoria na Johannesburg, nchini Afrika Kusini. Sehemu ya kwanza inaitwa "Krokodil" (Kiafrikaans kwa mamba). Baada ya kupokea mto wa Marico jina linabadilika na kuwa Limpopo. Hapo unapita mwendo wa upinde mkubwa ukielekea kwanza kaskazini-magharibi halafu mashariki hadi Bahari Hindi. unafuata mpaka kati ya Afrika Kusini na Botswana, halafu mpaka wa Afrika Kusini na Zimbabwe.
Tawimto mkubwa ni mto Olifants (Limpopo) (Kiafrikaans kwa tembo) unaojiunga na Limpopo katika Msumbiji km 200 kabla ya mdomo wake. Mto unafikia Bahari Hindi kwenye mji wa Xai-Xai (Msumbiji).
Remove ads
Tazama pia
- Mito mirefu ya Afrika
- Orodha ya mito ya Afrika Kusini
- Orodha ya mito ya Botswana
- Orodha ya mito ya Msumbiji
- Orodha ya mito ya Zimbabwe
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Limpopo (mto) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads