Musiani Maria
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Musiani Maria, F.S.C. (jina la awali: Louis Wiaux; Mellet, Hainaut,20 Machi 1841 - Malonne, Namur, Ubelgiji, 30 Januari 1917) alikuwa bradha alitumia karibu maisha yake yote kulea kwa bidii vijana [1].

Alitangazwa mwenye heri na Papa Paulo VI tarehe 30 Oktoba 1977, halafu mtakatifu na Papa Yohane Paulo II tarehe 10 Desemba 1989.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Januari[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads