Mustiola

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Mustiola (karne ya 3 - Chiusi, Toscana, Italia, karne ya 3) alikuwa mwanamke anayeheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mwenye sifa ya mfiadini[1].

Thumb
Mt. Mustiola alivyochorwa.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Novemba[2]

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads