Mwamba Productions
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mwamba Productions ni studio ya kufanyia rekodi za muziki kutoka nchini Ufini-Tanzania. Studio ilianzishwa mnamo mwaka wa 2004 ikiwa na wasanii Wazungu tu, lakini baadaye ikaja kuwa na wasanii wengine pale ilipoanza kufanya kazi na wasanii wa Tanzania. Studio imeshatoa albamu kadhaa za muziki wa bongo flava na nyingine nyingi kwa nchi ya Ufini. Kwa albamu za bongo, studio imetoa albamu ya Bomoa Mipango, Mambo Jambo n.k.[1]
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads