Mwantakaje Haji Juma
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mwantakaje Haji Juma (amezaliwa 1 Aprili 1970) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Bububu kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads