Mwari

Jenasi ya ndege wakubwa wa maji walio na domo kubwa sana From Wikipedia, the free encyclopedia

Mwari
Remove ads

Wari (pia miari au wali) au wendambize ni ndege wakubwa wa maji wa jenasi Pelecanus, jenasi pekee ya familia Pelecanidae, wenye domo kubwa na rangi nyeupe au kijivu. Ndege hawa huvua samaki kwa makundi. Domo lao la chini ni ngozi inayoweza kunyoka na kuumba mfuko ili kuuwekea samaki kwa kitambo. Jike huyataga mayai mawili ardhini au kwa tago la matete na matawi kati ya matete, juu ya mti mrefu au juu ya mwamba wa bahari.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Remove ads

Spishi za Afrika

Spishi za mabara mengine

Picha

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads