Mzumbe
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mzumbe ni kata ya Wilaya ya Mvomero katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania, yenye Postikodi namba 67311.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 19,677 [1].Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 19,056 [2] walioishi humo.
Mzumbe ilikuwa mahali pa chuo cha utawala (Local Government School) kilichoanzishwa mwaka 1953 wakati wa Tanganyika kuwa chini ya Uingereza kilichoendelea kuwa "Institute of Development Management (IDM-Mzumbe)"; tangu mwaka 2001 hadhi ya taasisi ilipandishwa tena kuwa chuo kikuu cha Mzumbe University.[3]
Mzumbe ina watu wa makabila mbalimbali, lakini hasa ni asili ya kabila la Waluguru.
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads