Najma Murtaza Giga
Mwanasiasa wa Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Najma Murtaza Giga (amezaliwa tarehe 5 Septemba 1967) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge kupitia kwa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads