Namfamo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Namfamo anatajwa kama Mkristo wa kwanza kuuawa kwa ajili ya imani yake barani Afrika (180 hivi).
Ni kati ya wafiadini wa Madauros (karibu na M'Daourouch, leo nchini Algeria), pamoja na Mijin, Sanami na Luchíta[1]. Majina mengine yanayotajwa pamoja ni: Adyuto, Aresto, Artifa, Besa, Datulo, Degno, Evasi, Felisi, Felisiani, Kresto, Kwarti, Kwinti, Lukania, Martiri, Mose, Museo, Onorato, Orato, Paulo, Pompini, Privati, Reduktula, Rogasiani, Rustiko, Salvatori, Saturnini, Setimini, Sesiliana, Seliani, Sidini, Simplisi, Sito, Teturo, Tino, Vikta, Viktorino, Vikturi na Vinsenti.
Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu kadiri ya barua ya Masimo wa Madaura kwa Augustino wa Hippo[2].
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 18 Desemba[3][4].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads