Nathalan

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Nathalan (pia: Nachlan au Nauchlan; alifariki 678) alikuwa askofu katika eneo la Aberdeen nchini Uskoti, maarufu kwa upendo aliokuwanao kwa fukara[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Leo XIII tarehe 11 Julai 1898.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Januari[2].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads