Nikola wa Tolentino
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Nikola wa Tolentino, O.S.A. (kwa Kiitalia Nicola da Tolentino; Sant'Angelo, 1246 hivi - 10 Septemba 1305) alikuwa padri maarufu kwa maisha ya kiroho.

Mkali kwake mwenyewe katika kujinyima na kusali kwa bidii, alikuwa na huruma kwa watu wengine, akifanya mara nyingi malipizi kwa niaba yao[1].
Alitangazwa na Papa Eugeni IV kuwa mtakatifu tarehe 5 Juni 1446.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads