Nikolai Velimirovic

From Wikipedia, the free encyclopedia

Nikolai Velimirovic
Remove ads

Nikolai Velimirovich (kwa Kiserbokroatia: Николај Велимировић; 4 Januari 188118 Machi 1956) alikuwa mmonaki, halafu askofu wa majimbo wa Ohrid na Žiča (1920-1956), mwanateolojia na mhubiri maarufu wa Kanisa la Kiorthodoksi la Serbia.[1]

Thumb
Picha yake halisi.

Wakati wa vita vikuu vya pili alitekwa na Wajerumani na kupelekwa katika kambi la Dachau.

Baada ya kufunguliwa hakurudi Yugoslavia bali alihamia Marekani mwaka 1946 hadi kifo chake.

Alitangazwa na Kanisa lake kuwa mtakatifu tarehe 24 Mei 2003.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Machi[2][3][4].

Remove ads

Baadhi ya maandishi yake

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Vyanzo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads