Nkiru Sylvanus

Muigizaji na Mwanasiasa kutoka Nigeria From Wikipedia, the free encyclopedia

Nkiru Sylvanus
Remove ads

Nkiru Sylvanus Riches (kuzaliwa 21 Aprili,mwaka 1985)[1] ni mwigizaji na mwanasiasa kutokea nchini Nigeria. Wakati akifanya kazi kama mwigizaji, alishiriki katika filamu zaidi ya sabini pamoja na kushinda tuzo ya mwigizaji bora wa kike wa mwaka iliyotolewa na Africa Magic Viewers Choice Awards na pia alishinda mwigizaji bora katika tuzo za Africa Movie Academy Awards.[1][2][3][4]

Thumb
Nkiru Sylvanus
Remove ads

Maisha ya awali na Elimu

Sylvanus alizaliwa Osisioma, Aba, mji uliopo jimbo la Abia. Alisoma Ohabiam Primary and Secondary School, ambapo alipata cheti chake cha kwanza. Alijiunga na chuo kikuu cha Enugu State University of Science and Technology, akamaliza na kutunukiwa shahada ya mawasiliano ya uma.[5][6][7]

Kazi ya Uigizaji

Akielezewa na gazeti la The Punch kama mkongwe katikza asnia ya filamu, Sylvanus alianza kazi ya uigizaji akiwa na umri wa miaka 17, mwaka 1999. Ameshiriki zaidi ya filamu 70 za nchini Nigeria.[1][8][9]

Alitajwa mara mbili (2017 & 2018) katika chapisho la nchini Nigeria The Guardian's katika nafasi ya watu mashuhuri waliotengeneza matukio.[10][11]

Siasa

Mwaka 2011 Sylvanus alikua katika baraza la gavana aliepita wa jimbo la Imo bwana Rochas Okorocha kama msaidizi wake juu ya masuala ya Lagos na baadaye kuwa mshauri wake katika masuala ya mahusiano ya jamii.[12][13][14][15]

Kutekwa na kuachiwa 2012

Sylvanus, aliyewahi kuwa msaidizi wa gavana aliyepita wa jimbo la Imo bwana Rochas Okorocha alitekwa Disemba 15, 2012 saa nane mchana kama taarifa zilivyosema. Kituo cha Vanguard kilitoa taarifa kwamba, fidia ya ₦100,000,000[7] (milioni moja kwa pesa za Nigeria) kwa kipindi hicho ni sawa na $640,000 ( dola za kimarekani laki sita, arobaini elfu) zilihitajika ili aachiwe.[16][17][18][19][20] Mnamo Disemba 21 2012 majira ya saa nne usiku vyombo vya habari nchini Nigeria vililipoti kuachiliwa kwa Sylivanus.[19]

Remove ads

Tuzo

  • Muigizaji bora wa mwaka wa Africa Magic Viewers Choice Awards
  • Muigizaji bora wa Africa Movie Academy Awards[1]

Maisha binafsi

Filamu zilizoteuliwa

  • Final Tussle (2008)
  • Life Bullets (2007)
  • Fine Things (2007)
  • No More Love (2007)
  • Secret Pain (2007)
  • She Is My Sister (2007)
  • The Last Supper (2007)
  • Treasures Of Fortune (2007)
  • Alice My First Lady (2006)
  • Buried Emotion (2006)
  • Divided Attention (2006)
  • Pastor’s Blood (2006)
  • Serious Issue (2006)
  • Sweetest Goodbye (2006)
  • What A Mother (2005)
  • Dangerous Mind (2004)
  • Hope Of Glory (2004)
  • King Of The Jungle (2004)
  • My Blood (2004)
  • Queen (2004)
  • The Staff Of Odo (2004)
  • Unconditional Love (2003)
  • Egg Of Life (2003)
  • Green Snake (2003)
  • Six Problems (2003)
  • Holy Violence (2003)
  • Last Weekend (2003)
  • Onunaeyi: Seeds Of Bondage (2003)
  • The Only Hope (2003)
  • A Cry For Help (2002)
  • Love In Bondage (2002)
  • Miracle (2002)
  • Pretender (2002)
  • Unknown Mission (2002)
  • Never Come Back (2002)
  • Terrible Sin (2001)
Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads