Nueva Esparta
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Nueva Esparta ni mojawapo kati ya majimbo 23 yanayounda Venezuela; peke yake ni la visiwani.

Liko katika bahari ya Karibi, katika visiwa vya Margarita, Coche na Cubagua. Jumla ni kilometa mraba 1,150.
Wakazi ni 491,610, wengi wakiongea Kihispania na kufuata Ukristo katika Kanisa Katoliki.
Makao makuu yako La Asunción, lakini mji mkubwa zaidi ni Porlamar.
Remove ads
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads