Nuno Alvares
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Nuno Alvares, O.Carm. (Cernache do Bonjardim, 24 Julai 1360 - Lisbon, 1 Aprili 1431) alikuwa mtawala wa maeneo mbalimbali ya Ureno na amirijeshi wa nchi kupigania uhuru hadi ushindi.

Alipofiwa mke wake (1423) alijiunga na jumuia ya Wakarmeli alipoishi kwa ufukara na kufichama katika Kristo hadi kifo chake [1].
Papa Benedikto XV alimtangaza rasmi mwenye heri tarehe 23 Januari 1918, halafu Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu tarehe 26 Aprili 2009[2]. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Novemba [3].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads