Odulfi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Odulfi (pia: Odwulf, Odulf, Odulph, Odulfo, Odulphus[1] ; alifariki Utrecht, Uholanzi, 865 hivi) alikuwa padri wa shirika la Waaugustino kutoka Brabant Kaskazini aliyeinjilisha kwa mafanikio Wafrisia[2].

Tazama pia
Tanbihi
Vyanzo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads