Ol' Dirty Bastard
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Russell Tyrone Jones (15 Novemba 1968 – 13 Novemba 2004) alikuwa rapa na mtayarishaji, ambaye alikwenda kwa jina la kisanii la Ol' Dirty Bastard (mara kwa mara hufupishwa kama ODB). Huyu alikuwa mmoja kati ya walioanzisha kundi zima la hip hop la Wu-Tang Clan.
Ol' Dirty Bastard ameleta mambo ya ajabu na upimbi kwenye kundi la Wu-Tang Clan. Anafahamika sana kwa maujanja yake ya kushika microphone (yaani, anaimba kwa kufokafoka sana na maneno yake kama hayasikiki).[1]
Remove ads
Diskografia
Albamu zake
Singles
- 1995: "Brooklyn Zoo"
- 1995: "Shimmy Shimmy Ya"
- 1999: "Got Your Money" (feat. Kelis)
- 2001: "Missin My Rock (An Ode to Lithdawg and crew)"
- 2003: "Welcome Home" (feat. Nicole Wray)
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads