One Sweet Day

From Wikipedia, the free encyclopedia

One Sweet Day
Remove ads

"One Sweet Day" ni wimbo uliorekodiwa na mwimbaji wa nchini Marekani, Mariah Carey, kwa kushirikiana na kundi la vijana wa Boys II Men. Wimb huu umeandikwa na Carey mwenyewe kwa kushirikiana na, Walter Afanasieff pamoja na kundi la Boyz II Men linalowajumuisha Wanya Morris, Shawn Stockman, Nathan Morris, na Michael McCary. Wimbo huu ulitayarishwa na Carey mwenyewe kwa kushirikiana an Afanasieff kwa ajili ya albamu ya sita ya Carey iliyokwenda kwa jina la Daydream, ambapo single hii ilitoka kama singe ya pili kutoka katika albamu hii na ilitoka mwaka 1995.

Ukweli wa haraka Imetolewa, Muundo ...

Albamu hii ilishikilia rekodi ya kuwa single iliyowahi kukaa katika nafasi ya kwanza kwa kipindi kirefu zaidi katika chati ya nchini Marekani, ya Billboard Hot 100 kwa kufanikiwa kukaa kwa takribani wiki kumi na sita. Na pia wimbo huu ni moja kati ya nyimbo zilizowahi kufanya vizuri zaidi kwa kutoka kwa Carey na kundi la Boyz II Men.

Wimbo huu ulifanikiwa kufika katika nafasi ya 29, katika chati ya Billboard inayojumuisha nyimbo 100 bora.[1]

Remove ads

Kuhusu rekodi hii

Kutungwa kwa wimbo wa "One Sweet Day" kuliamasishwa na kifo cha mtayarishaji wa nyimbo wa C+C Music Factory na mwanachama wa kundi hilo David Cole, na pia mpiga gitaa wa Carey wa muda mrefu zaidi aliyeitwa " Def Leppard na Steve Clark, mwaka 1991. Wakati wakijaribu kutafuta msanii kwa ajili ya kushirikiana nae katika kutengeneza wimbo huu, kundi la Boyz II Men, ndipo Carey alipogundua kuwa, kundi hili lilikuwa limepeleka maombi katika mkurugenzi wake ambaye aliuwawa wakati walipokuwa katika ziara.Ndipo walipoamua kujumuisha wimbo wa Boys II Men pamoja na ule wa Carey na kutengenneza wimbo mmoja ulioitwa One Sweet Day

Remove ads

Mapokezi

Mapokezi ya kibiashara

Single hii, imekuwa single ya kumi kutoka kwa Carey kufika katika nafasi ya kwanza katika chati ya Billboard na kwa upande wa kundi la Boyz II Men, ulikuwa ni wimbo wa nne, kuwahi kukaa katika chati hii kwa kipindi cha takribani majuma kumi na sita yaani kuanzia katahe 26 Novemba 1995 hadi tarehe 16 Machi 199. Lakini hapo awali kundi la Boyz II Men liliwahi kushika rekodi hii, kwa wimbo wa End of the Road mwa mwaka 1992 kukaa katika chati hiyo kwa majuma kumi na tatu , wakati wimbo wa I'll Make Love toYou wa mwaka 1994 kukaa kwa kiasi cha mjuma kumi na nne. Halikadhalika wimbo wa The Boy Is Mine ulioimbwa na Brandy pamoja na Monica , ambao baadae ulikuja kuimbwa na Whitney Houston wa I Will Always Love You ni miongoni mwa nyimbo zilizowahi kufanya vizuri katika chati hii. Kwa upande wa Carey, wimbo wa We Belong Together uliotoka mwaka 2005, na wimbo kutoka katika kundi la Black Eyed Peas wa mwaka 2009 ulioitwa I Got Feeling pia ni miongoni mwa nyimbo ziizowahi kukaa katika chati ya muziki kwa kiasi cha wiki kumi na nne. Single ya One Sweet Day ilichukua nafasi ya wimbo wa Exhalekutoka kwa Witney Houston, lakini badae wimbo huu ulitolewa na wimbo Because You Loved Me kutoka kwa Celine Dion

Single hii iliingia moja kwa moja hadi katika nafasi ya kwanza, na hivyo kummfanya Carey kuwa mwananuziki wa kwanza kufikisha nyimbo zaidi ya moja moja kwa moja katika nafasi ya kwanza mfululizo.

Remove ads

Video ya muziki

Video ya single hii iliongozwa na Larry Jordan, imetengenezwa na picha za Carey kiwa na Boyz II Men wakiwa wananaadika na kurekodi wimbo huu katika studio. Ilikuwa vigumu kwa waimbaji hawa kupanga muda kwa ajili ya kutengeneza wimbo huu.

Orodha ya nyimbo na orodha

Worldwide CD single

  1. "One Sweet Day" (Album Version)
  2. "One Sweet Day" (Live Version)

Japanese CD maxi-single

  1. "One Sweet Day" (Album Version)
  2. "One Sweet Day" (Live Version)
  3. "Open Arms"

UK CD maxi-single #1

  1. "One Sweet Day" (Album Version)
  2. "One Sweet Day" (Sweet A Cappella)
  3. "One Sweet Day" (A Cappella)
  4. "One Sweet Day" (Chucky's Remix)
  5. "One Sweet Day" (Live Version)

UK CD maxi-single #2

  1. "One Sweet Day" (Album Version)
  2. "Fantasy" (Def Drums Mix)
  3. "Joy to the World" (Celebration Mix)
  4. "Joy to the World" (Club Mix)

U.S. CD maxi-single

  1. "One Sweet Day" (Album Version)
  2. "One Sweet Day" (Sweet A Cappella)
  3. "One Sweet Day" (A Cappella)
  4. "One Sweet Day" (Chucky's Remix)
  5. "One Sweet Day" (Live Version)
  6. "Fantasy" (Def Drums Mix)
Remove ads

Chati

Maelezo zaidi Chati (1995), Ilipata nafasi ...

Mauzo

Maelezo zaidi Msambazaji, Mauzo ...
Remove ads

Tazama pia

  • List of Hot 100 number-one singles of 1995 (U.S.)
  • List of Hot 100 number-one singles of 1996 (U.S.)

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads