Onesmo Koimerek Nangole
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Onesmo Koimerek Nangole ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Longido kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads