Longido

From Wikipedia, the free encyclopedia

Longido
Remove ads

Longido ni mji mdogo na makao makuu ya Wilaya ya Longido katika Mkoa wa Arusha upande wa kaskazini wa Tanzania wenye postikodi namba 23501.

Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Thumb
Maduka kwenye barabara kuu inayopita Longido. Mlima Longido unaonekana nyuma.

Iko kwenye barabara katikati ya miji ya Arusha na Namanga mpakani mwa Kenya, kando ya mlima Longido wenye kimo cha mita 2,629 juu ya UB.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa 3,948 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 2,285 [2] walioishi humo.

Wakazi ni hasa Wamasai.

Kuna maduka, nyumba za wageni, hoteli, vilabu, kituo cha polisi, shule ya msingi na ya sekondari pamoja na makanisa mbalimbali.

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads