Optasiani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Optasiani (karne ya 5 - 504 hivi) anakumbukwa kama askofu wa kumi na tatu wa Brescia (Italia Kaskazini) kwa muda wa miaka 54.
Mwaka 451 alisaini barua za sinodi ya Lombardia zilizotumwa na Eusebi wa Milano kwa Papa Leo I ili kukiri imani sahihi kuhusu Umwilisho dhidi ya uzushi [1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads