Oto wa Ariano

From Wikipedia, the free encyclopedia

Oto wa Ariano
Remove ads

Oto wa Ariano (Roma, Italia, 1040 - 23 Machi, 1127) alikuwa mmonaki Mbenedikto halafu mkaapweke kutoka familia tajiri, ambaye alishika toba baada ya kuwa askari katika ujana wake[1].

Thumb
Mt. Oto Frangipane akisali kwenye makao yake karibu na Ariano Irpino.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 23 Machi[2][3].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads