P.Y.T. (Pretty Young Thing)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
"P.Y.T. (Pretty Young Thing)" ni wimbo msanii wa rekodi za muziki kutoka nchini Marekani, Michael Jackson. Demo kamili ya wimbo huu ilitungwa na Greg Phillinganes kwa ajili ya albamu yake ya sita ya Thriller (1982). Baadaye demo ile ilikuja kuongezwa kasi kidogo na James Ingram na mtayarishaji Quincy Jones. Hivyo walishirikiana katika maandalizi ya wimbo huu. Dada wawili wa Jackson, Janet na La Toya, walitia sauti za nyuma katika wimbo huu wa P.Y.T.
Remove ads
Chati
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads