Paladi wa Uskoti
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Paladi wa Uskoti (kwa Kilatini: Palladius; Gallia, 408 - 457 hivi) alikuwa askofu wa kwanza wa kisiwa cha Ireland lakini baada ya kukataliwa huko alihamia Uskoti hadi kifo chake [1].
Alipokuwa shemasi, ndipo Papa Selestini I alipompatia uaskofu na kumtuma katika Funguvisiwa la Britania kupinga Upelaji.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads