Pantagati
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Pantagati wa Vienne (475 hivi - 540 hivi) alikuwa askofu wa mji huo wa Burgundy (leo nchini Ufaransa)[1][2][3].
Aliacha majukumu ikulu asomee upadri. Baada ya mwaka 536 alifanywa askofu akashiriki mtaguso wa Orleans wa mwaka 538[4].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads