Pantaleo mfiadini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Pantaleo (kwa Kigiriki Παντελεήμων, Panteleímon, yaani "Mwenye huruma tupu") alikuwa Mkristo wa Nikomedia huko Bitinia aliyefia dini yake wakati wa dhuluma ya Kaisari Diocletian mwaka 305 BK[1].

Kabla ya hapo alikuwa akitoa huduma za kitatibu bila kudai malipo yoyote [2]. .
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki[3], Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na Waanglikana kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
