Papa'z Song
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
"Papa'z Song" ni jina la kutaja wimbo wa Tupac Shakur kutoka katika albamu yake ya pili, Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z. Video yake ilitengenezwa kwa ajili ya single. Wimbo ulishika nafasi ya #24 kwenye chati za Rap nchini Marekani, #82 kwenye chati za Hip Hop/R&B na #87 kwenye chati za Billboard Hot 100.
Wimbo umemshirikisha Mopreme Shakur almaarufu kama Wycked, Kaka'ke mkubwa wa kufikia Tupac Shakur na ni mtoto wa Mutulu Shakur.
Remove ads
Orodha ya nyimbo
- "Papa'z Song"
- "Dabastard's Remix"
- "Vibe Tribe Remix"
- "Peep Game" feat Deadly Threat
- "Cradle To the Grave"
![]() |
Makala 1990s song-related bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads