Papa Alexander IV
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Alexander IV (takriban 1199 – 25 Mei 1261) alikuwa Papa kuanzia tarehe 12/20 Desemba 1254 hadi kifo chake[1]. Alitokea Jenne, Roma, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Rinaldo. Alikuwa mpwa wa Papa Gregori IX.
Alimfuata Papa Inosenti IV akafuatwa na Papa Urbano IV.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads