Papa Urban IV
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Urban IV (takriban 1195 – 2 Oktoba 1264) alikuwa Papa kuanzia tarehe 29 Agosti/4 Septemba 1261 hadi kifo chake[1]. Alitokea Troyes, Ufaransa[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Jacques Pantaléon.
Alimfuata Papa Aleksanda IV akafuatwa na Papa Klementi IV.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads