Papa Anastasio IV
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Anastasio IV (alifariki 3 Desemba 1154) alikuwa Papa kuanzia tarehe 12 Julai 1153 hadi kifo chake[1]. Alitokea Roma, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Corrado wa Suburra.
Alimfuata Papa Eugenio III akafuatwa na Papa Adriano IV.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads