Papa Benedikto XV

From Wikipedia, the free encyclopedia

Papa Benedikto XV
Remove ads

Papa Benedikto XV (21 Novemba 185422 Januari 1922) alikuwa Papa kuanzia tarehe 3/6 Septemba 1914 hadi kifo chake[1]. Alitokea Genova, Italia[2].

Thumb
Papa Benedikto XV.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giacomo della Chiesa.

Alimfuata Papa Pius X (1903-14) akafuatwa na Papa Pius XI.

Tazama pia

Tanbihi

Loading content...
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads