Papa Pius XI
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Pius XI (31 Mei 1857 – 10 Februari 1939) alikuwa Papa kuanzia tarehe 6/12 Februari 1922 hadi kifo chake[1]. Alitokea Desio, Milano, Italia[2].


Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Achille Ratti.
Alimfuata Papa Benedikto XV na kuvishwa taji la Kipapa tarehe 12 Februari 1922. Akafuatwa na Papa Pius XII.
Maisha
Kabla ya kuchaguliwa kama Papa, alikuwa askofu mkuu wa Milano (tangu mwaka 1921).
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads