Papa Boniface III
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Boniface III alikuwa Papa kuanzia tarehe 19 Februari 607 hadi kifo chake tarehe 10 Novemba 607[1]. Alitokea Roma, Italia[2].

Alimfuata Papa Sabiniano akafuatwa na Papa Bonifasi IV.
Ingawa aliongoza muda mfupi, alichangia sana uimarishaji wa miundo ya Kanisa Katoliki.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads