Papa Gelasio II
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Gelasio II, O.S.B. (alifariki 29 Januari 1119) alikuwa Papa kuanzia tarehe 24 Januari au 10 Machi 1118 hadi kifo chake[1]. Alitokea Gaeta, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Caetani au Coniulo.
Alikuwa mmonaki wa Wabenedikto wa Monte Cassino (Italia).
Alimfuata Papa Paskali II akafuatwa na Papa Callixtus II.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads