Papa Gregori X
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Gregori X (takriban 1210 – 10 Januari 1276) alikuwa Papa kuanzia 1 Septemba 1271/27 Machi 1272 hadi kifo chake[1]. Alitokea Piacenza, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Tebaldo Visconti. Uchaguzi wake ulichukua muda mrefu kuliko zote (miaka mitatu).
Alimfuata Papa Klementi IV akafuatwa na Papa Inosenti V.
Tarehe 8 Julai 1673 Papa Klementi XI alimtangaza mwenye heri.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads