Papa Honorius I
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Honorius I alikuwa Papa kuanzia tarehe 27 Oktoba 625 hadi kifo chake tarehe 12 Oktoba 638[1]. Alitokea Campania, Italia[2].

Alimfuata Papa Bonifasi V akafuatwa na Papa Severino.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads