Papa Innocent X
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Innocent X (6 Mei 1574 – 7 Januari 1655) alikuwa Papa kuanzia tarehe 15 Septemba/4 Oktoba 1644 hadi kifo chake[1]. Alitokea Roma, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Battista Pamphilj.
Alimfuata Papa Urbano VIII akafuatwa na Papa Aleksanda VII.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads