Papa Innocent XII
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Innocent XII (13 Machi 1615 – 27 Septemba 1700) alikuwa Papa kuanzia tarehe 12/15 Julai 1691 hadi kifo chake[1]. Alitokea Spinazzola, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Antonio Pignatelli.
Alimfuata Papa Aleksanda VIII akafuatwa na Papa Klementi XI.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads