Papa Klementi XII
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Klementi XII (7 Aprili 1652 – 6 Februari 1740) alikuwa Papa kuanzia tarehe 12/16 Julai 1730 hadi kifo chake[1]. Alitokea Firenze, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Lorenzo Corsini.
Alimfuata Papa Benedikto XIII akafuatwa na Papa Benedikto XIV.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads