Papa Lucius III
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Lucius III (1097 – 25 Septemba 1185) alikuwa Papa kuanzia tarehe 1/6 Septemba 1181 hadi kifo chake[1]. Alitokea Lucca, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Ubaldo Allucingoli.
Alimfuata Papa Aleksanda III akafuatwa na Papa Urbano III.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads